Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma. MKURUGENZI Mtendaji wa taasisi ya Watumishi Housing Investment (WHI), Dkt.Fred Msemwa amesema kuwa pamoja na kuwepo kwa taasisi...
Na Judith Ferdinand, TimesMajira Online Mwanza Watu wanaodaiwa ni wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama machinga jijini Mwanza wamezua taharuki baada...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na QR Code 'Lipa Mkononi' iitwayo NMB MastaBata...
Na Judith Ferdinand, Times Majira online , Mwanza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA),imetoa msaada wa vifaa...
Na. Israel Mwaisaka,Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga ametoa agizo kwa Maafisa Tarafa na Kata kusimamia na kuhamasisha...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma.MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii(NSSF )imesema kuwa kufikia Julai mosi mwaka huu tayari itakuwa imeweza kuzalisha...
Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Dodoma WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknlojia Profesa Adolf Mkenda ametolea ufafanuzi kuhusu baadhi ya wazazi wa...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma.MAMLAKA ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu imesema kuwa kwa kipindi cha mwaka 2022 hadi kufikia wiki mbili...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake (UWT) kata ya Kisongo Mkoani Arusha, Vaileth Ngowo amefanikiwa kutoa...
Na Allan Vicent, TimesMajira Online, Tabora BARAZA la madiwani la Halmashauri ya Manispaa Tabora limepitisha makisio ya bajeti ya mapato...