Na Mwandishi Wetu,Timesmajiraonline WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) ameshiriki katika Mkutano wa Dunia...
PPRA YATOA MAAGIZO NANE KWA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA. Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Dodoma MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti...
Na Penina Malundo, Timesmajira NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Wanawake kuwa mabalozi wa nishati...
*Asema Sera na Sheria zinazowekwa zinahimiza matumizi ya Nishati Safi *Afungua Mkutano wa Awali EAPCE'25 *Ataka utumike kujadili mipango kuhusu...
Na Mwandishi wetu , Timesmajira Online NAIBU Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,Mhandisi Maryprisca Mahundi,amesema Benki ya Taifa ya...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma KUTOKANA na huduma za kibingwa zinazotolewa na Hospitali ya Benjamin Mkapa,imesema inampango wa kuiomba serikali kuipandisha hadhi...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma TUME ya Madini imesema mchango wa Sekta ya Madini kwenye Pato la Taifa umeongezeka kutoka asilimia 7.2...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira KATIKA kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025, yenye kaulimbiu "Wanawake na Wasichana 2025:...
Na Patrick Mabula , Mbogwe. Wabunge Luhanga Mpina wa Kisesa na Nicodemas Maganga wa Mbongwe wamesema watandelea kuwafichua wale viongozi...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma WAKAZI wa Mtaa wa Mahomanyika kata ya Nzuguni Jijini Dodoma wamemuomba Rais Samia kuingilia kati mgogoro wa...