Na Rose Itono,Timesmajira KAMPUNI ya Airtel Tanzania imezindua maduka mengine manne ya kisasa ili kuwapunguzia adha wananchi kutumia gharama kufuata...
Na Queen Lema, Timesmajira Online,Arusha Benki ya CRDB,imefanikiwa kupata faida ya bilioni 551 ambapo wanahisa wake watarajiwa kupitisha na kisha...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Kampuni...
Wataalamu wawaonya watumiaji wa mitandao ya umma Na Ismail Mayumba KATIKA ulimwengu wa sasa wa kidigitali, upatikanaji wa mtandao umekuwa...
Mwandishi: Ismail Mayumba INSTAGRAM ni mtandao wa kijamii unaoruhusu mtumiaji kupata huduma ya kushirikisha picha za kawaida na za video...
Na Mwandishi wetu,TimesmajiraOnline,Dar MKE wa Rais wa Jamhuri ya Finland Suzanne Innes ametembelea Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam...
Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Dodoma “Tusifumbie macho, tusifunge midomo viwanda vya nguo virejee Tanzania.” Haya yalikuwa maneno ya Mbunge wa Kuteuliwa...
Na Mwandishi wetu, Timesmajira Serikali kupitia Wakala wa Vipimo (WMA) nchini imekagua na kuhakiki vipimo 1,013,859 ambavyo ni sawa na...
Na Mwandishi wetu, Timesmajira Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza Viongozi mbalimbali...
Maeneo 300 tayari yamefikkwa Asisitiza gharama ya kuunganisha umeme Vijijini ni shilingi 27,000/- Na Mwandishi wetu, Timesmajira Naibu Waziri wa...
