



NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameongoza maelfu ya washiriki katika mbio za TCB Selous Marathon zilizofanyika katika Mji Kasoro Bahari mkoani Morogoro Juni 20 2026.
Marathon hiyo imefanyika kwa hamasa kubwa huku ikiwakutanisha washiriki kutoka mikoa mbalimbali nchini waliojitokeza kushiriki na kuunga mkono jitihada za kuhamasisha michezo, afya na mshikamano wa kijamii.

More Stories
Wachimbaji wadogo Geita wapatiwa leseni tatu mpya
TTB yatumia Afcon kutangaza nchi Kimataifa
Taarifa sahihi ,Teknolojia kuwezesha wachimbaji wadogo