Na Heri Shaaban, Timesmajira Online -Mwanza
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa UVCCM Mtaa wa Rada Kata ya Majohe,Fatuma Akhim,ajitosa kuchukua fomu kugombea nafasi ya Udiwani wa Viti Maalum Wanawake wilaya ya Ilala.
Akizungumza na waandishi wa habari,mara baada ya kuchukua fomu,Akhim, amesema,amejiona anatosha kuwatumikia wanawake wa Wilaya ya Ilala.
“Nimekuwa kiongozi wa Umoja wa Vijana kwa vipindi tofauti, pia nimekuwa Katibu wa kupinga ukatili kwa muda mrefu,sasa nimejipima naona natosha kushika wadhifa huo,”.

More Stories
TanTrade kuimarisha ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania,Serbia
Serikali kuendelea kuunga mkono Taasisi zinazowezesha kilimo
Ukaguzi wa migodi waimarisha Usalama,Uhifadhi wa Mazingira