Na.Mwandishi wetu,Timesmajira
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewaongoza Viongozi mbalimbali wa Serikali katika Hafla ya makabidhiano na uzinduzi wa Boti mbili kwa ajili ya doria katika Bahari na Maziwa makuu.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amehudhuria hafla hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Bandari Jijini Dar es Salaam, tarehe 31 Julai, 2026.
Boti hizo mpya ni PB Sailfish 02, na PB Sailfish 03, za doria zitasaidia kuimarisha ulinzi wa bahari na maziwa makuu nchini.



More Stories
Itunda: Vikundi 170 vyafaidika zabuni za asilimia 30
Utalii wa Arusha wanusa fursa mkutano wa IPU
Wachimbaji wadogo Geita wapatiwa leseni tatu mpya