Na Mwandishi wetu,Timesmajira
MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji nchini (NIRC), Raymond Mndolwa (mwenye suti nyeusi) akiwa Mkuu wa Kitengo Cha Habari na Mawasiliano (NIRC), Mariam Mziwanda pamoja na waandishi wa habari katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa kuwaona na kuwapa pole wanahabari waliopata ajali jana wakitokea kazini Idodi katika Maadhimisho ya Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduz (CCM)





More Stories
UWT yahimizwa kusimamia malezi bora
Uwekezaji wa Michezo wavutia Watalii Tanzania
Mkurugenzi Bonde Rufiji, ahimiza utunzaji vyanzo vya maji