December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Taifa ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mwalimi Elias Iyo, (katikati) akiwa ameshikilia fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kugombea Ubunge Jimbo la Babati Mjini katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Picha na Joyce Kasiki.

Mjumbe CWT ajitosa ubunge Babati Mjini