December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mchopanga aapishwa kuwa DC

Na Mwandishi Wetu TimesMajira Online

MKUU wa Mkoa wa Mara Ally Hapi amewaapisha Wakuu wa Wilaya walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Miongoni mwa waliopishwa ni Juma Issa Chikoka maarufu kama Mchopanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Dkt. Viccent Mashinji kuwa DC Serengeti.