January 29, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Majaliwa amwakilisha Samia sherehe za kuapishwa Rais Madagascar (PICHA)

Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina akiwapungia wananchi alipowasili kwenye uwanja wa michezo wa Barea uliopo Mahamasina kuapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha tatu,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi katika sherehe za kumwapisha Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina zilizofanyika kwenye uwanja wa michezo wa  Barea uliopo Mahamasina,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi katika sherehe za kumwapisha Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina wa Madagascar   zilizofanyika kwenye uwanja wa michezo wa  Barea uliopo Mahamasina, Desemba 16, 2023. Kushoto ni mkewe Mama Mary Majaliwa.
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina akiwa na mkewe, Mialy Rajoelina, na watoto wao Arena na Ilonstoa Rajoelina (kulia) baada ya kuapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha tatu katika sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Barea uliopo Mahamasina,
Rais wa Comoro, Azali Assoumani akisalimiana na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa katika sherehe za kumwapisha Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina zilizofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Barea uliopo Mahamasina, leo. Kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.