December 28, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Lukuvi achukua fomu Jimbo la Isimani

Na Zuhura Zukheir, TimesMajira Online, Iringa.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amefika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Ismani mkoani Iringa.

Lukuvi aliwasili ofisi za chama hicho akiwa ameambatana na mkewe.