Na Zuhura Zukheir, TimesMajira Online, Iringa.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jackson Kiswaga amefika katika ofisi za chama hicho kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la KalengaÂ
Kiswaga amechukua fomu ya kugombea Jimbo la Kalenga ambalo lilikuwa linaongozwa na Mbunge Godfrey Mgimwa


More Stories
Kigoma yatoa tenda zaidi ya Milioni 500
Vyama vya Siasa vyatakiwa kuwa Mabalozi wa Bima
Serikali kuboresha hadhi ,maslahi ya madereva