May 27, 2022

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Katibu Mkuu wa CCM afanya mazungumzo na Waziri Mkuu

Na Mwandishi wetu, TimesMajiraOnline

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Kassim Majaliwa Majaliwa.

Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 18 Januari, 2022 katika Ofisi za CCM Makao Makuu Jijini Dodoma.