Na Mwandishi wetu,timesmajira Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Wananchi CUF Wilaya ya Tandahimba Abasi Jogologo’ amekihama Chama hicho na kujiunga na ACT Wazalendo kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika leo tarehe 11 Machi 2023 Tandahimba Mjini. Post Views: 660 Continue Reading Previous Mbunge Ilemela achangia milioni 4, kutatua changamoto ya maji Kangaye Next Simba yamvulia kofia Rais Samia, yamuahidi makubwa dhidi ya Horoya. More Stories Habari Serikali kurekebisha sheria, kukomesha ndoa za utotoni Tanzania October 12, 2026 Penina Malundo Habari Vijana watakiwa kujituma kwa Maendeleo ya Taifa October 11, 2026 Penina Malundo Habari Homera ashiriki mkutano wa 17 jukwaa la kimataifa Nishati October 11, 2026 Hamisi Miraji
More Stories
Serikali kurekebisha sheria, kukomesha ndoa za utotoni Tanzania
Vijana watakiwa kujituma kwa Maendeleo ya Taifa
Homera ashiriki mkutano wa 17 jukwaa la kimataifa Nishati