Mhandisi Mkazi wa mradi wa Ujenzi wa Vihenge vya kisasa katika kituo cha Babati mkoani Manyara Baraka Mpembeule, akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya (katikati), alipokuwa akikagua mradi huoMuonekano wa vihenge vya kisasa katika kituo cha Babati mkoani Manyara, vilivyojengwa na kampuni ya Unia Sp.o.o ya nchini Polland, kwa gharama ya shilingi bilioni 18.59 na kusimamiwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA). Vihenge hivyo vina uwezo wa kuhifadhi jumla ya tani 40,000 za mazaoMuonekano wa vihenge vya kisasa katika kituo cha Babati mkoani Manyara, vilivyojengwa na kampuni ya Unia Sp.o.o ya nchini Polland, kwa gharama ya shilingi bilioni 18.59 na kusimamiwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA). Vihenge hivyo vina uwezo wa kuhifadhi jumla ya tani 40,000 za mazao. Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
More Stories
Kikwete: Nidhamu na Uadilifu ni msingi wa maendeleo ya taifa
Madaktari Mloganzila wanufaika na mafunzo maalum ya tiba za mifupa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Simbu kung’ara Mbio za Wakili Marathon 2026