January 8, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Dkt. Mwinyi mgeni rasmi mashindano ya Qur’aan

Na Mwandishi Wetu, Timesmajira

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ni mgeni rasmi wa Mashindano ya Qur’aan ya Afrika 2023, yanayofanyika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.

Rais Alhaj Dk. Mwinyi akifuatilia muda huu washiriki wa Mashindano ya Qur’aan ya Afrika uwanja wa Uhuru