December 25, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Cosato Chumi ajitosa kutetea kiti cha Ubunge Mafinga

Na Zuhura Zukheir, TimesMajira Online, Dar es Salaam

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mafinga, Cosato Chumi amefika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Wilaya ya Mufindi kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Mafinga kupitia chama hicho.

Chumi anachukua fomu ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kutetea kiti cha ubunge.