Na David John, TimesMajira Online, Njombe WATANZANIA wameshauriwa kutopuuza matumizi ya dawa za asili, kwani dawa hizo zimekuwepo tangu enzi...
Habari
Na Jovina Bujulu-MAELEZO TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ni chombo chenye mamlaka kisheria ya kuratibu na kusimamia Uchaguzi Mkuu...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Online,Dodoma MOJA ya mikakati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliyojiwekea ya kuimarisha uadilifu katika utendaji kazi...
Na Angela Mazula, TimesMajira Online KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),kinatambua nia ya Rais Dkt.John Magufuli ya kutotekeleza...
Na David John,TimesMajira Online. Njombe MKUU wa Wilaya ya Iringa mjini, Richard Kasesela amewataka Watanzania kuendelea kulinda na kuenzi mila...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Online. Kagera MKOA wa Kagera umekamilisha miradi ya maji 73 yenye thamani ya sh. 62,516,688,102, hivyo kuongeza...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Online Tabora NAIBU Kamishna wa Uhifadhi (Utalii na Huduma za Biashara) wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori...
Na Dennis Gondwe,TimesMajira Olinbe,Dodoma WANANCHI katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kufanya uchunguzi wa mifugo pindi inapougua kabla ya...
Na Happiness Shayo,TimesMajira Online,Dodoma SERIKALIi kupitia Wizara ya Maji imeipatia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA)...
Na Eliafile Solla, TimesMajira Online SIKU ya elimu ya mlipa kodi ya pango la ardhi imetajwa kuwa mwarobaini katika utatuzi...