MTWARA, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara,Wakili Msomi Evod Mmanda amefariki dunia alfajiri ya leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa...
Mikoani
Na Esther Macha, Mbeya HATIMAYE Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya kwa kushirikiana na wananchi wa Kiwira Wilaya ya Rungwe wamefanikiwa...
Na Suleiman Abeid, Timesmajira, Shinyanga POLISI mkoani Shinyanga inawashikila watu watatu kwa tuhuma za mkumfanyia ukatili mtoto mdogo na matumizi...
Na Patrick Mabula , Kahama. WATU wanaodaiwa wezi wamevunja kioo cha gari la mfanyabiashara Renatus Lucas (44) mkazi wa Mtaa...
Na George Mwigulu Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera amewapa Polisi mkoani hapa saa 48 kumfikisha mahakamani mfanyabiashara...
Na Suleiman Abeid, Shinyanga WAUMINI wa Kiislamu mjini Shinyanga wametekeleza agizo lililotolewa na Rais John Magufuli kwa kuomba dua maalumu...
Na Mwajabu Kigaza, Kigoma JESHI la Polisi mkoani Kigoma limethibitisha kuwaua watu saba wanaosadikiwa kuwa majambazi katika eneo la Kumwambu...
Na Eliasa Ally, Iringa MKUU wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela ameagiza wamiliki wa baa kuhakikisha wafanyakazi wao wanavaa barakoa...
Na Suleiman Abeid, Shinyanga KIJANA mmoja mjini Shinyanga ambaye hakufahamika jina wala makazi yake mara moja amenusurika kufa baada ya...
Na Steven Augustino, Tunduru MWANAUME Athuman Maneti (43) amefariki baada ya kujinyonga hadi kufa katika tukio linalohusishwa na wivu wa...