Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Morogoro
ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF) Deodatus Balile, ameshinda nafasi hiyo dhidi ya mpinzani wake Nevile Meena, katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo.
Balile ampata kura 57 na Meena kura 22 ambapo idadi ya wapiga kura ilikuwa 79 katika uchaguzi unaofanyika mkoani Morogoro, katika Ukumbi wa Nashera.
More Stories
Serikali yahimiza wananchi kutembelea vivutio vya utalii
Magunia ya kufungia tumbaku yakamatwa
Madereva 16,Mwanza wafungiwa leseni ya udereva