Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Morogoro
ALIYEKUWA Mjumbe wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF) Bakari Machumu (pichani), ameshinda nafasi hiyo dhidi ya mpinzani wake Joyce Shebe, katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo.
Machumu ampata kura 53 na Shebe kura 26 ambapo idadi ya wapiga kura ilikuwa 79 katika uchaguzi unaofanyika mkoani Morogoro, katika Ukumbi wa Nashera.

More Stories
Kijana apigwa risasi tuhuma za uhalifu benki
Hospital ya Wilaya Mbarali yapokea vifaa tiba
Mpogolo aagiza mitaro Kariakoo kuzibuliwa