January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Bitteko aongoza kikao kazi ngazi ya Mawaziri

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiongoza kikao kazi ngazi ya Mawaziri kuhusu uendelezaji wa Bandari nchini.

Kikao kazi hicho kimefanyika tarehe 7 Machi, 2024 katika ofisi ndogo ya Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mawaziri wa Kisekta, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakurugenzi wa Taasisi kutoka Sekta husika.