December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Bernard Membe achukua fomu ya Urais NEC

Mgombea wa kiti cha Urais kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Bernard Membe akiongozana na Mgombea Mwenza Profesa Omary Fakiyi, amechukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Agosti 07, 2020 katika Makao Makuu ya Tume ya Uchaguzi (NEC) Dodoma.