Benki ya NBC imeendesha mafunzo ya ujasiriamali na uendeshaji wa biashara kwa wajasiriamali wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa ili kuwaongezea ujuzi wa kuendesha biashara zao. Mafunzo. hayo yamefanyika Kiirumbe Social Halls, Mjini Moshi.
Zaidi ya mafunzo hayo, Benki ya NBC pia ilipata fursa ya kuwa wenyeji ya zaidi ya wateja hao 200 kwa ajili ya kupata chakula cha jioni katika Dinner Gala iliyoandaliwa maalum na Benki ya NBC.
Aidha Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Moshi, Bw Lazaro Mollel alisema nia kubwa ya kuwapa mafunzo na kuwaalika chakula cha jioni ni dhamira ya benki hiyo kutaka kuwaweka wateja wao karibu zaidi.
More Stories
Elon Musk : Bill Gates atafilisika endapo…
CRDB yazindua matawi Majimoto, Ilula kuwahudumia wananchi
Lina PG Tour yafufua gofu Moshi