Na Penina Malundo,TimesmajiraOnline,Dar WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amesema miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan, sekta ya afya imeendelea...
reuben kagaruki
*TIC yasajili miradi ya trilioni 38.3/-, aifanya Tanzania kuongoza kwa mazingira bora ya uwekezaji Afrika, vivutio vya kikodi usipime Na...
Na Allan Vicent, Tabora<timesmajiraOnline, Tabora SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepongezwa kwa kumwaga...
Na Jackline Martin,TimesmajiraOnline,Dar UONGOZI wa miaka mitatu madarakani wa Rais Samia Suluhu Hassan, umeleta mageuzi makubwa kwenye kilimo, ikiamua kuwekeza...
Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline,Dar BENKI ya Dunia (WB) imesema Tanzania imepiga hatua muhimu katika kupunguza vifo vya watoto wachanga na watoto,...
Na Mwandishi Wetu, TimesmajieaOnline,Iringa JUMUIYA ya Umoja wa Vijana (UVCCM) imesema itawashughulikia watakaojitokeza ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua...
Na Markus Mpangala,TimesmajiraOnline,Dar DUNIA nzima imetenga siku kadhaa za kuadhimisha kumbukumbu za matukio au mambo mbalimbali. Serikali za nchi mbalimbali...
Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline,Dar RAIS Samia Suluhu Hassan, ameendelea kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kubadilisha wengine kwenye nafasi zao, hali...
Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline,Dar RAIS Samia Suluhu Hassan, ameahidi ifikapo mwaka 2030 asilimia 88 ya Watanzania wawe wanatumia nishati safi ya...
Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline,Dar MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe ya Maadili Amani na Haki za Binadamu kwa...