*Mfumo wakusanya tani milioni 1.1, wakulima walipwa trilioni 2.4*Mfumo wakua kwa asilimia 43 msimu 2025/26*Ajira 11,000 zapatikana kupitia maghala Judith...
Judith Ferdnand
Judith Ferdinand, Timesmajira Online-Kwimba Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amezitaka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB)...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online-Dar Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar-es-Salaam,limewakamata watuhumiwa 46 kwa tuhuma mbalimbali za makosa ya...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online-Geita Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imesaini mkataba wa ubia na kampuni ya Plantcor...
Na Israel Mwaisaka, Timesmajira Online-Rukwa‎‎Skauti Mkoa Rukwa wameiazimisha siku kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanzilishi wa Skauti duniani Sir Roberth Barden...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online-Tabora WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana,Dkt. Joel Nanauka ameleta neema kwa kijana muuza...
‎Na Israel Mwaisaka, Timesmajira Online -Rukwa‎‎MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi,mkoani Rukwa,wametakiwa kubadilika kwa kufanya kazi kisasa baada ya...
*Ukarabati uwanja wa ndege Sumbawanga wafikia asilimia 96 ‎Na Israel Mwaisaka, Timesmajira Online-Rukwa‎‎Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Mwakiposa Kihenzile, ametoa...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online-Kahama Mjumbe wa Taifa wa Kamati Tendaji Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Azan Mufti,...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online-Shinyanga Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana,Dkt. Joel Nanauka, amesema Serikali itaendelea kutatua...
