Profesa Joyce Ndalichako akipokea fomu za kuomba kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea ubunge katika Jimbo la Kusulu Mjini mwishoni mwa wiki. Uchaguzi wa madiwani, wabunge na urais unatarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Na mpiga picha wetu.
More Stories
Wazee watakiwa kuimarisha malezi , maadili ya jamii
Serikali yaombwa kuongeza walimu, madarasa maalumu
MWADETA yawanoa walimu mahitaji maalumu