Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online, Uturuki
CHUO Kikuu cha Ankara, kimemtunua Rais Samia Suluhu Hassan Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Uchumi kwa kutambua uongozi wake wa kipekee katika kuendeleza mageuzi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ambayo yameboresha ustawi wa jamii. Â
Rais Samia alitunukiwa shahada hiyo ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) leo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki, Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo jana.





More Stories
Wanawake Nkasi wanufaika na uwezeshaji sekta ya uvuvi
Korogwe watakiwa kutunza misitu ya asili
Makamba ataka jamii ipate taarifa sahihi sekta ndogo ya umeme