Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM. Post Views: 1,373 Continue Reading Previous Wanafunzi St Mary’s waonyesha vipaji vya aina yakeNext BREAKING NEWS: Makonda tena CCM, achukua nafasi yake ya zamani, ni ile ya Mjema More Stories Habari Kitaifa OUT Yaweka Ubunifu Msingi wa Elimu Huria Mtandaoni August 24, 2026 joyce kasiki Habari Nmb yaunga mkono afya ya Watumishi kupitia Shimisemita August 24, 2026 Penina Malundo Habari Kitaifa Ushetu yatoa zabuni za sh.90.48 kwa makundi Maalum August 23, 2026 joyce kasiki
More Stories
OUT Yaweka Ubunifu Msingi wa Elimu Huria Mtandaoni
Nmb yaunga mkono afya ya Watumishi kupitia Shimisemita
Ushetu yatoa zabuni za sh.90.48 kwa makundi Maalum