Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 22 Julai 2023 kimezindua Jukwaa la Majadiliano ya Vyama vya Siasa Wilaya ya Kigoma Mjini kwa minajili ya kukuza, kuimarisha na kudumisha Demokrasia ya siasa ya vyama vingi.

Mradi huu wa kuunda majukwaa ya majadiliano umefadhiliwa na Ubalozi wa Marekani nchini.

Vyama vilivyoshiriki ni pamoja na CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO, NCCR – Mageuzi pamoja na CUF.

More Stories
Elimu ulinzi shirikishi yapunguza mauaji Kwimba
AIRTEL FURSA LAB yarudi kwa sura mpya
Mshikemshike: Ufugaji wabadili maisha Shinyanga