Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Mheshimiwa Naibu waziri Mawasiliano Mhandisi Kondo Mathew ametembelea banda la Airtel katika viwanja vya bunge ikiwa ni siku moja kabla ya kusomwa kwa bajeti ya sekta ya Mawasiliano na kukutana na meneja uhusiano Airtel Jackson Mmbando. Waziri wa michezo Mheshimiwa Pindi Chana (MB) ni mmoja wa wageni waliotembelea banda la Airtel katika viwanja vya bunge na kuipongeza Airtel kwa mpango wake juu ya uwepo wa simu janja za mkopo kwenye maduka yote nchini. Airtel inaompango wa kutanua wigo wa matumizi wa simu janja (smartphone) kwa kuweka mpango bora wakukosha simu na kulipia kidogo kidogo kwa gharama ya hadi elfu 7 kwa wiki. Mwandishi Mkongwe wa habari za picha bw, Deus Mhagale akipata maelezo kuhusu Vifaa vya home INTERNET vya Airtel Vinavyoweza kuunganisha hadi watu/vifaa 32 kwa Wakati mmoja kwenye viwanja vya bunge leo ambapo Airtel Wapo kwenye maonesho ya wadau wa Mawasiliano. Mbunge wa Mbulu Vijijini Mheshimiwa Fratery Massay akipata maelekezo toka kwa watoa Huduma wa Airtel Wakati wa maonesho ya wadau wa Mawasiliano katika viwanja vya bunge leo ambapo Airtel wamehudhuria wakingoja kusoma kwa bajeti ya Mawasiliano hapo kesho. Post Views: 507 Continue Reading Previous Gambo aimwagia sifa CRDB kwa ujenzi wa madarasaNext Mpango avutiwa ubunifu wa IMBEJU kuchochea uchumi nchini More Stories Biashara na Uchumi Habari Kitaifa CRDB yazindua matawi Majimoto, Ilula kuwahudumia wananchi October 3, 2024 admin Biashara na Uchumi Habari Michezo Lina PG Tour yafufua gofu Moshi September 27, 2024 Penina Malundo Biashara na Uchumi Habari Kampeni ya Sako kwa Bako yawafikia Kanda ya Kati August 1, 2024 joyce kasiki
More Stories
CRDB yazindua matawi Majimoto, Ilula kuwahudumia wananchi
Lina PG Tour yafufua gofu Moshi
Kampeni ya Sako kwa Bako yawafikia Kanda ya Kati