Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Kamilius Membe, amefariki Dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinasema alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.

More Stories
Auto Login: Urahisi Unaoweza Kuhatarisha Faragha na Usalama Wako Mtandaoni
Notifications: Teknolojia Muhimu Katika Maisha ya Kidijitali
No Reforms, No ElectionsJe, Ni Harakati Halali au Usumbufu wa Kidijitali? Kauli Yachambuliwa