January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

MastaBata Kotekote na NMB, kujishindia safari ya Dubai

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Ni msimu wa kukwea pipa✈️!

Matumizi yako ya NMB mastercard au Lipa Mkononi (mastercard QR), ndio yatayokuhakikishia nafasi ya kushinda safari ya kwenda Dubai kwa siku nne pamoja na mwenza wako.