
Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa Mpya wa Jamhuri ya Msumbiji nchini Tanzania Mhe.Ricardo Amrosio Mtumbuida wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo akiwepo na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Msumbiji ayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta (kushoto).Picha na Ikulu


Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akibadilishana mawazo na mgeni wake Balozi wa Mpya wa Jamhuri ya Msumbiji nchini Tanzania Mhe.Ricardo Amrosio Mtumbuida baada ya mazungumzo wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo.

More Stories
Mfugaji panya avuta umati nanenane
Dkt.Nungu:Haki za wabunifu zilindwe
EWURA yasihi matumizi salama ya umeme na LPG