Muuza machungwa akiandaa bidhaa hiyo kwaajili ya wateja wake huku akiwa amevaa barakoa (mask) katika Mtaa wa Jamhuri, jijini leo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)
Muuza mayai ya kuchemsha akisubiri wateja pembeni ya kituo cha daladala, Posta Mpya, jijini mapema leo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)Wauuza vitafunwa wakisubiri wateja, Posta Mpya, jijini mapema leo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)Muuza Barakoa (mask) akiwa katika harakati za kutafuta wateja wa bidhaa hiyo leo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)Baadhi ya wakazi wa jiji wakiwa katika harakati mbalimbali mapema leoleo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)Mkazi wa jijini akiwa amevaa barakoa (mask) akiwa katika harakati mbalimbali mapema leoleo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)Mkazi wa jijini akiwa amevaa barakoa (mask) akiwa katika harakati mbalimbali mapema leoleo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)Mfanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya Gardaworld akiwa amebeba kiti cha ofisini akipeleka katika moja ya maofisi jijini, mapema leoleo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)Mkazi wa jijini akiwa ndani ya daladala linalofanya safari za Mbagala kutokea eneo la Feri kama alivyonaswa na kamera yetu leoleo 20/04/2020 (Picha na Imma Mbuguni)
More Stories
Msigwa :Wakuu wa mikoa andaeni maeneo ya upandaji miti
Waziri Mkenda aeleza Tanzania ilivyoweka mikakati madhubuti Teknolojia ya Akili Unde
Polisi Mbeya yajivunia miaka minne ya mafanikio