Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua, Hamza S. Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Dkt. Samia amemeteua Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali tarehe 3 Novemba, 2025.Aidha, taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi imesema kuwa Mhe. Johari ataapishwa tarehe 5 Novemba, 2025 saa nne Asubuhi Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma.

More Stories
Washindi ‘kila muamala bao la ushindi’ waendelea kupeta
TMA yaeleza faida taarifa hali ya hewa
Wananchi wapata elimu ubora,usalama na bidhaa