Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Muleba Ndugu Athumani Kahara akiyoa ufafanuzi kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa madarasa ya Shule ya Sekondari ya Kabitembe katika kata ya Kabitembe kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Muleba Ndugu Toba Nguvila ikiwa sehemu ya ziara yake pamoja wa Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mkoani Kagera ya kukagua, kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akishiriki ujenzi wa madarasa ya shule ya Kabitembe pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge ikiwa sehemu ya ziara yake pamoja wa Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mkoani Kagera ya kukagua, kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
More Stories
CP.Wakulyamba ashuka Katavi na Nguzo nne za Uongozi
Zanzibar kuzalisha wachezaji wenye vipaji
Maandalizi ya mkutano mkuu CCM yapamba moto