January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wiki hii duniani (picha)

Bibi na Bwana wakishiriki mlo wa usiku katika moja ya migahawa jijini Paris, Ufaransa jana huku wakiwa wamechukua tahadhari dhidi ya virusi vya corona (COVID-19) kwa kuvaa ngao maalum za plastiki. Ripoti zinaonyesha kuwa, ugonjwa wa Corona bado upo na unaendelea kusambaa kwa kasi, hivyo ni jukumu la kila mmoja kuchukua tahadhari. (Picha na AP).
Mwanaume aliyekutwa akipita kwenye maji mengi yaliyosababisha mafuriko makubwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Mei 26, mwaka huu mjini Miami nchini Marekani na ku.(Picha na AFP).
Mkulima raia wa Nepal akivuna ngano katika mji wa Bhaktapur juzi, wakulima wengi wameshauriwa kuweka akiba ya chakula kutokana na mwenendo usioridhisha wa hali ya hewa Duniani, hivyo kuwepo hofu ya baa la njaa. (Picha na AP).
Watu kutoka kaya maskini mjini Puete Alto, Santiago nchini China wakifanya maandamano kuishinikiza Serikali kuwapatia chakula baada ya kuwaweka ndani ikiwa ni hatua ya kujiadhari dhidi ya virusi vya Corona Mei 25, mwaka huu. (Picha na REUTERS).