January 7, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Mkuu Majaliwa afanya ziara maonyesho ya biashara sabasaba

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa afanya ziara katika maonesho ya 47 ya biashara Kimataifa, SabaSaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam, Pichani akiwa katika banda la Wizara ya Madini.

Matukio Katika Picha; Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa afanya ziara katika maonesho ya 47 ya biashara Kimataifa, SabaSaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam, Pichani akiwa katika banda la Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.