January 11, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Mary atembelea banda la TANESCO Maonesho ya Utalii

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Mary Masanja akiwa na Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko Makao Mkuu TANESCO Bw.Innocent Lupenza akiwa na Afisa Uhusiano Mkoa wa Geita Bi.Emma Nyaki alipotembelea banda la TANESCO wakati wa maadhimisho ya kilele cha Maonyesho ya Utalii na Biashara yaliyofanyika Agosti 15,2021 wilayani Chato katika viwanja vya Magufuli.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Mary Masanja akiwa na Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani akitoa maelezo mara baada ya kutembelea banda la TANESCO