January 8, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Majaliwa afunga mkutano wa Kimataifa wa madini

Na Mwandishi wetu, TimesMjira Online

Image
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Sekta ya Madini, kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Sekta ya Madini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam.