December 25, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Luhaga Mpina achukua fomu za Ubunge Jimbo la Kisesa

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi na Uvuvi, Luhaga Mpina (pichani juu kushoto) akipokea fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Kisesa wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu. kulia ni  Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Charles  Dotto Mazuri leo Julai 15, 2020
 

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akiwa nje ya Ofisi Kuu ya CCM Wilaya ya Meatu akionesha fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi  kugombea ubunge Jimbo la Kisesa Meatu Mkoa Simiyu leo Julai 15, 2020.