WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi na Uvuvi, Luhaga Mpina (pichani juu kushoto) akipokea fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Kisesa wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu. kulia ni Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Charles Dotto Mazuri leo Julai 15, 2020


More Stories
Kigoma yatoa tenda zaidi ya Milioni 500
Vyama vya Siasa vyatakiwa kuwa Mabalozi wa Bima
Serikali kuboresha hadhi ,maslahi ya madereva