January 11, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Kairuki akutana na Bilionea Jones

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Leo Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellqh Kairuki, amekutana na Bilionea wa Nchini Marekani Paul Tudor Jones ambaye pamoja na kuwekeza sekta ya hoteli na uhifadhi katika eneo la Grumeti, Serengeti hapa nchini ikiwa ni eneo pekee la Afrika linalotembelewa na mastaa wengi wa Marekani wakiwa nchini, pia ni mhifadhi muhimu anayeshirikiana na Serikali kuitangaza nchi.