January 9, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wateja wa Bank of Africa wapatiwa mafunzo ya kibiashara

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wasia Mushi  akifungua warsha ya mafunzo ya kibiashara kwa wateja  wa biashara za kati (SME) wa benki hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mmoja kati ya washiriki wa warsha akipokea vyeti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo,Bw.Wasia Mushi
Washiriki wa warsha katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa benki hiyo ,Bw. Wasia Mushi (katikati)