December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wanawake TPA watoa msaada wenye thamani ya Mil.29 gereza la wanawake Segerea na mahabusu ya watoto upanga.

Na mwandishi wetu,TimesMajira Online

Kuelekea siku ya Wanawake dunia, baadhi ya Wanawake wafanya kazi wa bandari kushirikiana na wadau mbali mbali wametoa Millioni 29 kwa magereza ya Wanawake segerea pamoja na mahabusu ya watoto iliyopo upanga wakiwa na lengo la kuigusa jamii yenye mahitaji kabla ya kilele cha siku ya Wanawake.