Na Allan Vicent, TimesMajira Online,Tabora
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Tabora inawashikilia Walimu 4 akiwemo Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Chabutwa wilayani Sikonge kwa kosa la kujihusisha na wizi wa mitihani ya darasa la saba iliyomalizika jana hapa nchini.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana Mkuu wa TAKUKURU Mkoani hapa Mussa Chaulo alitaja walimu waliokamatwa kuwa ni Halima Joachim Kamilius, Ng’walu Biura Ndaturu wote kutoka shule ya msingi Chabutwa na Nyerembe Michael Kikudo wa shule ya msingi Sikonge aliyekuwa msimamizi wa mitihani.
Kwa habari zaidi soma Gazeti la Majira kesho Oktoba 9, 2020
More Stories
Amos Lengael Nnko afariki kwa ajali ya gari
Jay-Z aunganishwa na P Diddy kwa kumdhalilisha binti wa miaka 13
Rais Samia afanya uteuzi