January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wagonjwa COVID-19 Zanzibar wafikia 12

Na Mwandishi Wetu

Waziri wa Afya Zanzibar, Hamad Rashid, leo tarehe 13/04/2020, ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa watatu wapya wa Corona COVID-19 na sasa idadi ya wagonjwa Zanzibar waliothibirika kuwa na maambukizi ni 12.