Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, kwa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika leo Jumatatu, Agosti 31, 2020, katika Uwanja wa Relini, jijini Arusha.
Mbali ya Mgombea Urais, Tundu Lissu, Viongozi wengine waliohudhuria na kuhutubia mkutano huo ni pamoja na Mgombea wa Kitu cha Makamu wa Rais, Salum Mwalim Juma Mwalim, Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama, John John Mnyika.
More Stories
Mpogolo amahukuru Dkt Samia
PPRA yatakiwa kuwa mfano kusimamia uadilifu Serikalini
Kamati ya Kudumu ya Bunge yaridhishwa ujenzi soko la Kariakoo