Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline
,Dodoma
VYAMA ambavyo wagombea wake watachukua Fomu za kugombea Urais vimeongezeka,Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) imetoa ratiba mpya.
Kwa mujibu wa INEC imetaja vyama vilivyoongezeka kuwa ni SAU,UDP,CUF na ACT WAZALENDO.
Post Views: 478
More Stories
UWT yahimizwa kusimamia malezi bora
Uwekezaji wa Michezo wavutia Watalii Tanzania
Mkurugenzi Bonde Rufiji, ahimiza utunzaji vyanzo vya maji